Machache kuhusu Nyerere

Comred Mbwana Allyamtu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
351
Reaction score
887
JE UMEWAHI KUJIULIZA HAYA KUHUSU MWALIMU NYERERE?

NA Comred Mbwana Allyamtu.

1-1955 mwalimu Nyerere alienda UNO kudai Uhuru kupitia article no 76 ya UN[emoji117]self determination na hii ilikuwa baada ya kina Dossa Azizi kuambiwa wasingeweza kazi hiyo mapema walipo kuwa london Uingereza. Hivyo walielekezwa watafute msomi wa Kikatoliki au Angrikana kwanini waliwekewa mashariti hayo?

2- Na kwanini Kazi ya kwenda UN kwa Mwalimu Nyerere iliandaliwa vema Na Hamza mwapachu baba yake Na Juma Bakar Mwapachu?.

2-1958 kwanini Mwalimu Nyerere alijiuzulu ualimu? Aligundua nini mbele?

3-1964 kama kweli Tanganyika ilikuwa socialist state kwanini alipotaka kupinduliwa Uingereza walimsaidia Kwann walimsaidia? ........

4-Zanzibar ilikuwa ni socialist state so mataifa ya kibepari (capitalist state) waliamin wakijenga uhusiano mzuri Na nyerere ataifanya Zanzibar kuwa capitalist state kwanini Nchini hizo zilifikiri kujenga mauhusiano na Nyerere? Nini kilipelekea hivyo?

5-Kumbuka toka 1963 Zanzibar ilishawahi kuitwa Cuba ya Africa Na mataifa ya USA Na UK. Na ilikuwaje tu mara baada ya muungano jina hilo likatoweka? Ni sababu zipi zilibadili hali ya mambo?

Ndimi Comred Mbwana Allyamtu

MAALIFA YOTE YAMO VITABUNI KAA CHINI SOMA KWA UYAKINIFU UTAPATA MAJIBU.
 
Historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika haijawahi kuandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…