Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
1. Aliujuwa mpira na mpira ulimjuwa na ulimfuata.
2. Mara nyingi alipo uagiza ulifika kwa mlengwa.
3. Ukimuuliza Zidane ni kipi anajutia kwenye Soka?!
Hatokwambia ile Kadi Nyekundu kwenye final ya World Cup bali atakwambia ni kuchelewa kwake kujiunga na Juve, na Siku alipo jiunga akakuta Baggio ameshaondoka.
4. Alicheza timu 3 kubwa Italy na hakuwahi kuzomewa.
5. Ndie Mchezaji Pekee alie waita wapinzani waje wamkabe na wapinzani waligoma.
Pichani Baggio akiwaita walinzi wa Inter ambao waligoma kabisa kumsogelea.