Machache niliyogundua kuhusu wanawake kwenye mahusiano

ni mawazo yasiyofaa
 
Wewe utakua kuna shida mahali. Utakuwa umetoka kwenye familia ambayo ina misukosuko. Kama umelelewa na mama au dada zako au ndugu wa kike na wakakuonyesha upendo basi na wewe ungejua kuwa na upendo kwa wanawake. You can’t give what you don’t have. It is obvious wewe huna upendo kwahivyo kwa vyovyote vile huwezi kuutoa unaishia kutuona wanawake hivyo unavyotuona. I’m sorry for whatever happened to you in the past. May you heal. May you feel loved. May you love again. ✌🏾
 
Namba 12 uko sawa kabisa Mkuu nimeliona sana
 
Number 6 na[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…