Machache niliyogundua kuhusu wanawake kwenye mahusiano

Huyu wa kwangu suala la kuchinja na kuchuna mbuzi ni dogo sana kwake na muda mfupi sana.
Vipi niendelee naye au nikimbie zaidi ya USAIN BOLT?
 
mimi nili mpata bikra nikajua nimemaliza kila kitu tumishi nae miaka tano sasa ameanza kuchepuka hawa viumbe wa ovyo kweli
 
N
Namba 8 ni halisi? Unawezaje kuishi na mtu awaye yote bila huruma. Basi hutaweza kuishi nae Kwani no one is perfect isipokuwa tunaangalia ni nani utaweza kuendana nae kulingana na machaguo Yako, hata unavyoacha Hela ya matumizi asubuhi ni huruma. Na mara nyingi point hii huzungumzwa. Uhalisia wake ukoje? Usimgaramikie kwa lengo la kuwa nae? Usimtendee wema kwa lengo la kuwa nae? Tanzania?
 
Point ya Msingi naongezea.

Kinachotengeneza Uchumba ni Upendo...!
Upendo Hauna Uwezo wa kumlinda Ndoa zaidi ya Uvumilivu...!

Kuna Vitu tulidanganywa kabla.
 
17: Usiishi / kuoa mwanamke ambaye bado anawaza kusaidia kwao na muda mwingi ana wasikiliza ndugu zake.

😥Hii ni moja ya sababu ambayo inafanya mwanamke afanye chochote,ili tu aonekane anawajali ndugu &Wazazi wake!
 
Namba 8 ndo kinawafanya mabaharia wengi wajinyonge, mtu unajikuta et una risk maisha yako et unamtafutia mwanamke baadae anakutelekeza
 
Toa sababu hiyo namba 18
 
Soma uelewe, amezungumzia wapenzi au marafiki, ambao hawajaanza kuishi, usimspoil ili kumvutia uishi umpate
 
Ka uzi kazamani ila kama make a lot of sense. Madini tupu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…