Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

Machafuko Gaza: Ulaya sasa 'Kimeumana Rasmi'

Mpaka tunaingia mitamboni miji hii kinawaka sasa
1. Paris
2. London
3. Berlin



Jana ilikua New York na pia Lebanon kunawaka moto kati ya polisi na waandamanaji wanaopinga uonevu wa Israel kwa Palestina


Nilidhani ni Wenyeji ndiyo wanaandamana kumbe ni Wakuja waliopewa hifadhi! Eti “kunawaka moto” [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha taifa teule ni mtindio wako wa ubongo ulivyoaminishwa na vitabu walivyokuja navyo Africa, na kutuambia tufumbe macho kuja kufumbua wakawa wamebeba Mali zote, na bado unapigishwa magoti na kufumba macho na ubongo wako pamoja na kujua kusoma na kuandika lugha kadhaa. Hivi vyakula vya kizungu vimeleta athali Sana mutindio wa ubongo na nguvu za kiume na kutofikiri kabisa.
 
Kwanini wana andamana kwenye nchi za watu kwanini wasiandamane kwenye nchi za karibu hapo! Kwahiyo wanawaogopa boko haram, alshabab maana hatujasikia hata siku moja

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Waandamanaji sio wapalestina ni raia wanaoumizwa na vitendo vya Israel
 
Back
Top Bottom