Machafuko na Umwagaji damu Nigeria! Hiki Ndiyo Chanzo

kwamba vituo vya polisi,majengo ya mahakama na miundombinu baadhi ni mali ya SARS[emoji28][emoji28][emoji28].

ukisikia mtu anakwambia huna akili hamaanishi ubongo huna.
 
Nigeria mfano mke akichakszwa na mmewe had I kupasuka,ananyimwa chakula.matibabu,
Hata alienda anavuja damu watamjibu mama hayo ni mambo ya kifamilia kayamalize nyumbani.

Niliona Hiki kisa kwenye TV,nlitamni npasue TV,

Kuna mwingine kwa amani tu alikua anatoka kanisani na familia yake kwenye gari ghafla barabarani anashangaa anasimamishwa,wanaghasiwa eti robbers..mke kadungwa risasi.watoto hawaelewi nini kinaendelea.baba nae wakati anahoji kapigwa risasi.wakaachwa hapohapo.
Mama kafa zamani huku kapakata kichanga..just imagine..halafu ni polisi na sare zao kabisa.
Hii nchi HAPANA!!
 
Kabisa...rushwa imeshamiri mno Nigeria
Kuna mjeshi alikuwa na mpango wa kumpindua Nyerere,Nyerere aligundua na kumpeleka Nigeria kuwa balozi akajifunze vizuri uzoefu wa kupinduana na kufahamu madhara yake haswa kwa taifa lenye makabila mengi kama Tanzania.
 
Kuna mahali nimeona askari na silaha zao wanatoka mbio kwa kuwaogopa raia
Hao askari wao wanachojua ni kuonea raia tu! Mara kibao wamekuwa wanawakimbia Boko Haram, wanavua magwanda na kutupa silaha kisha wanatoka nduki 😅 😅
 
Kweli kabisa! Yaani ukichora tatoo, ukiwa na dreadlock, ukiwa na mwonekano flan hivi wa tofauti basi wanakubandika jina la robber, wanakutwanga risasi hadharani kisha wanasepa zao! SAD
 
kwamba vituo vya polisi,majengo ya mahakama na miundombinu baadhi ni mali ya SARS[emoji28][emoji28][emoji28].

ukisikia mtu anakwambia huna akili hamaanishi ubongo huna.
Aiseee!
 
Nmeona leo kundi la maelfu ya watu wanaelekea kwenda kuvunja gereza aise ilibidi askari wa magereza wale kona
Maana watu wanakuja na majambia petrol visu bunduki Dah
Hatari

Ova
Hatari sana mkuu
 
Nmeona leo kundi la maelfu ya watu wanaelekea kwenda kuvunja gereza aise ilibidi askari wa magereza wale kona
Maana watu wanakuja na majambia petrol visu bunduki Dah
Hatari

Ova

kwahiyo sasa watuhumiwa woote kitaaa[emoji16][emoji16][emoji16].

haya majinga na uchumi wao wa upepo chali sasa hivi.
yataanza kulia hali ngumu muda si mrefu[emoji20][emoji20][emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…