kufuatia kuchafuka kwa nchi ya Uingereza kwa vurugu za kibaguzi ambazo zimewalenga waafrika na waislamu kwa kias kikubwa, Mataifa kadhaa yameonya raia wake baada ya wafanya ghasia kulenga miaikiti baada ya shambulio la visu kusababisha vifo vya watoto wadogo wakike. Baadhi ya nchi zilizo toa maonyo ni pamoja na Nigereia, Malaysia na Indonesia , Nchi hizi zimewatakan raia wake wanaoishi au kutembelea Uingereza kuwa makini na kuepuka mikusanyiko na maeneo yenye vurugu
View attachment 3063476