Uyu mchizi anakuja rambazia life etu apa jf aise...Acha kutudiss chalii wa chugga... Mamiloo wetu tunawaelewa kinyama arifu wewe kama huwasomi kivyako.... [HASHTAG]#Haikatox[/HASHTAG]
Wewe mwenyewe ni Deadbody unatarajia ujibu nini!!Demu anamwambia I miss you dear yeye anajibu haina noma arifu
🙂🙂
Nakuona chalii wa ArushaUyu mchizi anakuja rambazia life etu apa jf aise...
Uyo chalii anatakiwa kujua mamsi za chuga zimekaa kiarati sio kimdosho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo bablay kwanza unaeza kuta hata chugga hapajui anapaskia tuUyu mchizi anakuja rambazia life etu apa jf aise...
Uyo chalii anatakiwa kujua mamsi za chuga zimekaa kiarati sio kimdosho.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwambie mwambieAcha kutudiss chalii wa chugga... Mamiloo wetu tunawaelewa kinyama arifu wewe kama huwasomi kivyako.... [HASHTAG]#Haikatox[/HASHTAG]
Amenipata nadhanimwambie mwambie
Haha siku akija chuga asikae kidandara..anaeza kutana na mamsi akadhan mselaa....[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio hivyo bablay kwanza unaeza kuta hata chugga hapajui anapaskia tu
Sent from my iDevice using Tapatalk