pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Huwa naona baadhi ya majirani zetu humu kutoka dona kantri wakijipiga vifua. Kwamba wanaweza wakafunga mpaka wao na Kenya. Kwasababu nchi yao eti ni ya 'asali na maziwa' na hawahitaji la ziada kutoka kwa yeyote. Mkifahamishwa kuhusu omba omba wa kitanzania ambao wamevamia miji ya Kenya huwa mnajitia hamnazo. Leo nawafahamisha kuhusu maelfu ya dada zenu ambao wanachuuza ngono nchini Kenya. Yeyote yule ambaye anaifahamu Nairobi vizuri atakuwa anajua mtaa ambao kwa sheng huwa unaitwa 'Kijee', almaarufu Majengo au 'kwa watanzania'. Huu ni mtaa wa machungodoa tupu kutoka Tz. Huwa wanaketi kwenye 'stools' nje ya vyumba vyao, kuashiria kwamba wapo kazini. Mteja akija, changudoa anamfata nyuma akiwa na stool yake kisha wanaingia chumbani, yanayofata baada ya hapo mnayafahamu vizuri. >>https://www.iom.int/migrant-stories/day-life-imelda-angelo-migrant-female-sex-worker >>https://www.standardmedia.co.ke/eve...dest-prostitute-that-has-slept-with-5-000-men