Machapisho ya kitaaluma ya Ndg melkisedeki Kitunzi kaijage

Unauwezo gani wewe wa kumjadili mtu "kitaaluma"

Weka wasifu wako wa kiusomi hapa kabla hujataka kujionyesha ujinga mkubwa ulionao mwenyewe.
Wewe hata Wanu Hafidh anayo nafuu!

Maandishi yako tu humu JF ni kielelezo tosha.

Sasa usilalamike kuwa nakuonea.
Tazama tu hata kwenye hayo maneno machache uliyoandika hapo unavyoonyesha hujui kitu.
"...machapisho ya kitaaluma", wewe unayaita "articles"!
 
Lete link punguza porojo
 
Mtu kakamatwa unaanza kuuliza maswali ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…