Machawa wa humu Jf mmefilia na kutokomea wapi?

Hivi mzee wa kuwania teuzi a.k.a Pasclas. Bado anategemea kupata ukuu wa wilaya ukizingatia umri wake uko maghrib. Au anampigia binti yake apewe uteuzi.
 
Hivi mzee wa kuwania teuzi a.k.a Pasclas. Bado anategemea kupata ukuu wa wilaya ukizingatia umri wake uko maghrib. Au anampigia binti yake apewe uteuzi.
Wakati mwingine mtu anaweza kukumbula shuka asubuhi asijue ni asubuhi. Kwa wengine kujikomba na uchawa ni tabia tokana na ukosefu wa maarifa, utegemezi, na kupingana na ukweli. Ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
 
Kazi yetu ya kuwaambia vijana waache ujinga wa kuandamana na kutunza amani ya nchi imekamilika na wametuelewa

mkianza ujinga tena tutaendelea na project yetu
Ni kweli. Ila mawazo na ushauri huu ni kwa machawa tu wasiopenda kubuni na kujitegemea isipokuwa uchafu na kufugwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…