econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Machawa wa Hasina wa Bangladesh kwa Sasa wanaojua shubiri. Wanaishi maisha ya kujificha na wanawindwa kweli popote walipo. Ila muda wa miezi michache wao ndio walikuwa wababe wa Bangladesh na kuumiza watu waliokuwa wapinzani wa Hasina.
Walihusika kuteka na kupoteza wafuasi wa upinzani nchini Bangladesh. Ila kwa Sasa Hasina kakimbia nchi ya Bangladesh kawaacha machawa wake wamejificha kwa aibu na wengine kujiua kutokana na aibu.
Hivyo basi, kwa Sasa Tanzania Ina machawa wengi wanaojifanya ya kwamba wao ni Bora kuliko raia wengine. Wao ndio wenye haki. Na watakaopotezwa na kutesa wanafanyiwa dhihaka kuwa wamejiteka na hakuna linalofanyika. Ila tujue kwamba siku wananchi wakikasirika na kuwatimua Samia na Chawa wake ndipo Hali halisi ya Hawa machawa itawekwa wazi.
Soma Pia: Wanaomsifia Rais Samia kwa kila kitu na kichekesho kilichoandikwa karibu miaka 80 iliyopita
Niwakumbushe tu. Pale Kenya baada ya Rais Moi kutoka madarakani , machawa wake waliotesa wapinzani waliishi maisha ya hofu na wengine waliishia kufa kwa stroke kutokana na aibu ya mambo waliyoyafanya kipindi Cha Rais Moi.
Hivyo, nyie machawa mnaodhihaki wapinzani au wananchi wanaopatwa na madhara kana kwa nyie ndio raia wa Tanzania na wengine ni wapitaji ipo siku yenu inakuja na ikifika hamtakuwa na usemi zaidi ya aibu na kujificha kwa hofu ya maovu mliowafanyia watanzania wenu ili kumfirahisha Samia