Umemsahau na Aggysimba. Siku ambayo wanasimba watashtuka huo upuuzi wa viongozi kuwalipa machawa ili watetee hata kama wakifanya mambo ya hovyo na wengine wamefika mbali mpaka kuandaa "press" basi wakati huo Yanga itakuwa mbali sana. Wakati Yanga inaachana na machawa na kuanza kuendesha timu yao kitaalamu Simba inaingiza siasa na machawa matokeo yake wamekula tano na mpaka sasa hivi takribani wiki ya tatu hawajui tatizo ni nini na wasipozinduka basi wajiandae kwa matokeo mabaya kwenye michezo ijayo.Machawa maarufu wa kutetea viongozi wa Simba kina kisugu, mwakitalima, mzaramo ndio wako mstari wa mbele wanajua mkono ushaenda kinywani🤣🤣