Rio Fernand ukweli anaujua hao wanapoteza time tuView attachment 3592246
"Wizara ya Amani inajishughulisha na vita, Wizara ya Ukweli na uongo, Wizara ya Upendo na mateso, na Wizara ya Utele na njaa. Mikinzano hii si ya bahati mbaya, wala haitokani na unafiki wa kawaida: ni matendo ya makusudi ya fikra maradufu."
George Orwell, Kitabu cha "1984"
Mbona miandiko hiyo yote ya waliocomment hapo inafanana na ni ya AI.View attachment 3592246
"Wizara ya Amani inajishughulisha na vita, Wizara ya Ukweli na uongo, Wizara ya Upendo na mateso, na Wizara ya Utele na njaa. Mikinzano hii si ya bahati mbaya, wala haitokani na unafiki wa kawaida: ni matendo ya makusudi ya fikra maradufu."
George Orwell, Kitabu cha "1984"
kwani huyo wewe chawa wa Lissu una lipi la kuongea?
Mbona minyumbu mmekusanyika tele. Halafu, nyie mashetani, uliona lile kundi la watu walioenda kumpokea?!!!! Watu wanaompenda Samia wapo kibao isipokuwa tu wanawapotezea sababu hamna athari yoyote....malofa tu.