Machawa wameanza tena

Machawa wameanza tena

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Machawa taratibu wanaanza kupatiwa nguvu na baadhi ya viongozi wakubwa waovu. Baada ya muda, tutashuhudia machawa ikiropokwa hovyo bila kujali ilani, katiba ya nchi, katiba ya CCM, kanuni, miongozo, na taratibu.

Tujiulize kama taifa, je, viongozi kutokujali malalamiko ya wanyonge na kutoshughulikia umuhimu wa mifumo ya nchi kunalielekeza wapi taifa hili? Kwa huu uongo wa kuhubiri haki huku tukiwachukia wanaoinuka kuisema haki, tunaelekea wapi?
 
Back
Top Bottom