Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Hakika ni muda wa kupumzika sasa, nakuacha kujitesa kulima mashamba makubwa kama unayolima...Zile buku kumi kumi na picha na viongozi mnazoziweka sebuleni, ndiyo zimefka mwisho.Ni muda nchi inaenda kurudi wa watanzania.
Kama haukujenga au kutumia vizuri nafasi mliyopewana wakoloni jiandae kutumia akili.
Uzi tayari
Watalia na kusaga meno wakijichanganya piga tindo ya matakoZile buku kumi kumi na picha na viongozi mnazoziweka sebuleni, ndiyo zimefika mwisho. Ni muda nchi inaenda kurudi wa watanzania.
Kama haukujenga au kutumia vizuri nafasi mliyopewana wakoloni jiandae kutumia akili.
Uzi tayari
Ngoja niwaite wenyewe waje kufafanua..Machawa wanaenda kupoteza ajira, mkoloni anaondoka..
Endelea kuota ila tahadhari usijinyee.Tunaponya vizazi