kwamwewe JF-Expert Member Joined Jul 15, 2010 Posts 1,908 Reaction score 604 Oct 29, 2010 #1 Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Chwaka, Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Pikipiki zikiwa zimepamba msafara wa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete ulipokuwa ukielekea kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Chwaka, Kusini Unguja, Zanzibar jana.
Shedafa JF-Expert Member Joined May 21, 2008 Posts 802 Reaction score 175 Oct 29, 2010 #3 Mwana wa mfalme!
Mazingira JF-Expert Member Joined May 31, 2009 Posts 1,833 Reaction score 301 Oct 29, 2010 #4 Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi. Kweli hii familia ni ghali sana na inatakiwa iondoke mapema sana ikulu kwa maendeleo ya WaTZ
Huu ni ufujaji wa pesa za walipa kodi. Kweli hii familia ni ghali sana na inatakiwa iondoke mapema sana ikulu kwa maendeleo ya WaTZ
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Oct 29, 2010 #5 ..kweli Tanzania siyo masikini. ..huu umasikini ni wa kulazimishwa tu na CCM.
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 7,922 Reaction score 3,618 Oct 29, 2010 #6 riz one the son of mfalme