Pre GE2025 Machifu Mbeya wapinga Maandamano ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Chifu wa kabila la Wasafwa jijini Mbeya Chifu Rocket Mwashinga amesema anashangaa kusikia kwenye vyombo vya habari maneno yanazungumzwa kwamba machifu wa mbeya wameungana na msafara wa maandamano ya Chadema. "Ni kitu cha kushangaza kama mimi ndio mkuu sasa nashangaa huyo Chifu aliyezungumza ni nani wala katika himaya yangu hayupo".

 
Katiba inawatambua? Machifu?
 
Tatizo hii nchi Uchawa na Uvyama ndio unaleta hizi divide and rule mwisho wa siku mwananchi anakuwa short changed na watu ambao wangemsaidia...

Mwanzo kabisa haya Maandamano yasingepelekwa wala kujulikana kama Maandamano ya Chadema Bali ni maandamo ya ugumu wa maisha na mambo kwenda ndivyo sivyo (hilo linawaunganisha watanzania wote) tofauti na hapo badala ya kuongelea issue za kuwabana walamba asali watatue ugumu wa maisha tunaogelea watu / taasisi na events....
 
Katiba ya nchi inawatambua Hawa watu?
Kama inawatambua wapo ukurasa wa ngapi
 
Hairuhusiwi kuwa na mtazamo wa kisiasa tofauti?Yaani usipofuata watoa mada wanavyotaka basi wewe ni chawa upo kwenye payroll ya fulani na matusi juu.
Ni lazima kuwe na uhuru wa kisiasa wa kufuata na kuwa mwanachama wa chama unachokipenda na sio keyboard warriors wa JF ndio wa dictate.
 
Hii ndio njia rahisi ya kuyapaisha maandamano , safi sana Mwashinga kwa kutoa tuhuma ambazo hazipo ili kupaisha maandamano , njia bora sana
 
There we go.Kejeli na matusi as usual.
 
Hii ndio njia rahisi ya kuyapaisha maandamano , safi sana Mwashinga kwa kutoa tuhuma ambazo hazipo ili kupaisha maandamano , njia bora sana
Machifu wameenezewa na mwenezi 😁

Your browser is not able to display this video.
 
Machifu njaa ...Mbeya haina machifu wa mchongo wanao endekeza Marumbio wadwanzi tu.na wajinga
 
Himaya yake?....khe!
 
Hawa machief wameongea Mambo ambayo ni Genuine, kama vile kuwa, kama maandamano yanahusisha itikadi za kisiasa wao Sio wanasiasa!! Mbona wamejipambanua vizuri, hawapo biased
 
Reactions: Tui
Chifu gani mchafu hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…