Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Watuondolee usenge wao hapa hawa machifu ubwabwaView attachment 3613157
Baraza la Machifu na Wazee wa Kimila Mkoa wa Ruvuma limekanusha kumtambua John Heche kama Chifu wa Wangoni, likidai kuwa tukio la kuvikwa uchifu Juni 20, 2026 halikufuata taratibu za mila na desturi za kabila hilo.
Machifu hao wamesema aliyemvika Heche mavazi ya uchifu hana mamlaka ya kufanya hivyo, huku wakisisitiza kuwa utoaji wa uchifu lazima uidhinishwe na Baraza la Machifu. Pia wametoa wito kwa mamlaka husika kuchunguza tukio hilo na kuchukua hatua stahiki.
Ni sheria ipi ya Tanganyika imevunjwa?View attachment 3613157
Baraza la Machifu na Wazee wa Kimila Mkoa wa Ruvuma limekanusha kumtambua John Heche kama Chifu wa Wangoni, likidai kuwa tukio la kuvikwa uchifu Juni 20, 2026 halikufuata taratibu za mila na desturi za kabila hilo.
Machifu hao wamesema aliyemvika Heche mavazi ya uchifu hana mamlaka ya kufanya hivyo, huku wakisisitiza kuwa utoaji wa uchifu lazima uidhinishwe na Baraza la Machifu. Pia wametoa wito kwa mamlaka husika kuchunguza tukio hilo na kuchukua hatua stahiki.
******* hao wajinga sanaView attachment 3613157