Machifu wa zamani wakisaini mikataba wasiyoijua

mabosi wa Carl Peter,Wajerumani wangemmaliza Tundu lisu alafu kichwa wangekipeleka ulaya kwa sababu hawawapendi watu wanaojitambua.
Kwahiyo unasema Chifu Manguno alikuwa hana namna inamaana angekomaa angeuwawa?

Kwahiyo je tuache kumlaumu?
 
Kwahiyo unasema Chifu Manguno alikuwa hana namna inamaana angekomaa angeuwawa?

Kwahiyo je tuache kumlaumu?
Ndiyo, kwanza walikuwa hawana Elimu na pia walikuwa wanapewa vitisho.
 
Halooo kwa hiyo kati ya chief mkwawa na chief godlove bora mkwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…