Machimbo ya bata mikoani kwa mnaosafiri leo

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wadau niaje hizi ndizo chimbo za totoz kwa wale mnaosafiri kwenda maeneo mbalimbali ya nchi.

1. Tanga-Mombo & chichi
2. Morogoro-kahumba
3. Musoma-Embassy kwa shangazi
4. Bukoba-Liquid
5. Mtwara-Kwalipaja
6. Tabora-Oxygen
7. Mwanza-Kirumba,club 55,Nyegezi stand&Igoma
8. Makambako-Emirates
9. Moshi-Malindi
10. Mbeya-Mafiati
11. Kahama-Bijampola
12. Shinyanga-Bakurutu&Relini
13. Arusha-Mrina&Shivaz
14. Songea-La chaz
15. Dodoma-Chako ni chako

Nawatakia safari njema. Bon voyage!
 

Attachments

  • IMG_20231011_224301_250.jpg
    53.1 KB · Views: 4
Nipo Tarime nipe connection
 
Hii ya Mombo Tanga una maanisha Mombo hii mbele ya Korogwe?
 
Hilo dude ukilipiga kwa jinsi lilivyoinama unaweza mwanga mpaka ubongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morotown ni KAHUMBA, Na sio kahumbi! Kama ulivyoandika...


Na mzumbe kwa moto miaka yote!, Nanenane pia

Mbeya maeneo yote jirani na Mbeya Carnival💥, Chuo Cha Uhasibu💥 na MUST💥
 
tunaoelekea dodoma muda huu unatusaidiaje?
 
Morotown ni KAHUMBA, Na sio kahumbi! Kama ulivyoandika...


Na mzumbe kwa moto miaka yote!, Nanenane pia

Mbeya maeneo yote jirani na Mbeya Carnival💥, Chuo Cha Uhasibu💥 na MUST💥
Halafu mbeya watu ambao hawajafika Mbeya Carnival💥 ...

Wanadhani labda ni bonge la Club!... La hasha! Ni Bar ndogo tu ya kiaina... pembezoni ya barabara kuu..katikati ya uyole na mbalizi....lakini saasa mambo yake!... Sio ya nchi hii...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…