Navyojua mimi hamna chuma Ludewa ambacho kiko idle and available kwa ajili ya wawekezaji wengine other than Portion aliyopewa MMI (Shubash Patel) na kiasi kilichobaki kipo kwa ajili ya NDC na wawekezaji ambao wamesha kuwa identified. Unaweza tafutiwa chuma kutoka maeneo mengine ya Tanzania. 0655 222588