Mzee wa kazi ngumu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 849
- 2,550
Shukrani kamanda. Nikiwa singida mjini napanda gari za uelekeo wa wapi na nauri ni kiasi gani mkuu mpaka kwenye hayo machimbo walipo wachina?.Singida Wilaya ya Ilamba Maeneo ya Shelui na Misigiri.
Mambo mengine jiongeze kidogo mzee wa kazi. Sio kila kitu kuuliza. Ushatajiwa majina ya meneo, we jipange kisha nenda stendi na nauli yako utapata uelekeo.... Tumia akili 😊Shukrani kamanda. Nikiwa singida mjini napanda gari za uelekeo wa wapi na nauri ni kiasi gani mkuu mpaka kwenye hayo machimbo walipo wachina?.
Sawasawa mkuu😀😀😀.Mambo mengine jiongeze kidogo mzee wa kazi. Sio kila kitu kuuliza. Ushatajiwa majina ya meneo, we jipange kisha nenda stendi na nauli yako utapata uelekeo.... Tumia akili 😊
Unataka uwafanyeje?wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Mzee wa kazi ngumu kwasasa Tanga mjini.
nikapige kazi duarani mkuu.Unataka uwafanyeje?
Basi nenda Biharamulo ukipita njia ya kutokea ushirombo kuna machimbo hapo barabarani wapo! Nenda Ikungi ulizia mchimbo ya dhahabu yalipo utawakuta!nikapige kazi duarani mkuu.
😂Mambo mengine jiongeze kidogo mzee wa kazi. Sio kila kitu kuuliza. Ushatajiwa majina ya meneo, we jipange kisha nenda stendi na nauli yako utapata uelekeo.... Tumia akili 😊
Shukrani mkuu. Kesho nitakuwa njiani.Basi nenda Biharamulo ukipita njia ya kutokea ushirombo kuna machimbo hapo barabarani wapo! Nenda Ikungi ulizia mchimbo ya dhahabu yalipo utawakuta!
Kazi ni uhakika mkuu.Yaani wewe shida yako wachina tu🤔🤔
Kwa Singida nenda mpaka Shelui, unashikia hapo, Kisha unachukua boda au gari, unaenda Mgongo machimboni. Au unashuka Misigiri, unachukua boda unamwambia akupeleke Kinambeu kama sijakosea, hapo napo Kuna wachina.wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Kwa Singida nenda mpaka Shelui, unashikia hapo, Kisha unachukua boda au gari, unaenda Mgongo machimboni. Au unashuka Misigiri, unachukua boda unamwambia akupeleke Kinambeu kama sijakosea, hapo napo Kuna wachinawakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Mbeya nenda wilaya ya chunya ,wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.