Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

Hata hao new traders huwa mara nyingi wanawatumia old traders kwa uzoefu na usalama wa mizigo yao.
So atapata number ndogo ya hao new traders.
Kikubwa aelewe changamoto ya wazo lake.
Kama ni tech guy tuu na hajawahi kuwa winga kariakoo kuna vitu kwake atakuwa anaona tunamkatisha tamaa.
But kwa mtu ambae anaujua uwinga basi ana maono zaidi kwenye hili wazo.
 
Anasema ana machimbo kama 200+ hapo kariakoo. Machimbo yake ni ya bei au machimbo kayadefine vipi...
 

Rado za buku nne zipo pia!!
 

Hiki kitu unataka kufanya tofauti yake na kikuu, jumia, kariakoo mall na sijui jiji ni nini labda?
Ni hiyo ya mteja kulipia ili apate taarifa za chimbo tu amaaa…..!???!
 
Hili wazo litapigwa vita na mawinga kuliko kawaida. Jipange piga kazi tu
Je kama mimi ni winga vilevile, na niko hapa kufanya kazi kama wao? Na, vipi kama hii ni mbinu tu ya kufanya biashara kwa ubunifu zaidi?
 
Hiki kitu unataka kufanya tofauti yake na kikuu, jumia, kariakoo mall na sijui jiji ni nini labda?
Ni hiyo ya mteja kulipia ili apate taarifa za chimbo tu amaaa…..!???!
Swali zuri Freyzem
USP yetu ni kuleta bidhaa kwa namna ya unafuu wa bei. Tutakuwa na "jicho la ziada" kuwasaidia wateja wetu kupata sio machimbo na namba tu, bali kuwa up to date na flash sales. Aidha, tutalink na trusted ways ya kuwafikishia mizigo at affordable rates.

Difference na akina kikuu ni kuwa inventory yetu ya machimbo ipo audited, fresh and constantly updated, tofauti na akina Kikuu ambao wana platform ya "walk in" service providers.
 
Asante kwa maoni mazuri. Wazo langu linahusu vitu vingi. Escrow, quality assurance, sales patterns nk kujaribu kumsaidia mteja kufikia soko kwa haraka, kwa usalama na kwa uhakika.
 
Asante kwa challenge hii baab kubwa. Hiyo hiyo trade assurance ndo ya kwangu. Technically mimi ni "digital winga", na dhumuni langu ni kukeep digital track na social proof kuwa wazo langu linafanya kazi.
 
Anasema ana machimbo kama 200+ hapo kariakoo. Machimbo yake ni ya bei au machimbo kayadefine vipi...
List yangu ya machimbo yametokana na connection nlojenga na wafanyabiashara wenza. Of course according to ushauri nimeona haja ya kuexpand kwa nlichokuwa nacho, kuongeza na kupunguza ili kuwa na list iliyonyooka na yenye bei nafuu.

Aidha, idea ya quality assurance nimeiona pia, na naifanyia kazi.
 
Dogo una akili sana, bonge la idea..
 
Tena na hii dunia tunapokwenda ya Cashless Society, yaani mambo yote mkononi unakuwa na mfumo kama huu duka mkononi unapewa na machimbo ya jumla, ni kama Alibaba vile aylu Amazon au Ebay
 
Umefanya vizuri lakini jamii yetu bado kidogo, utapeli ni mwingi sana kwenye online bussness na udalli usio na UAMINIFU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…