Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 242
- 452
Habari za majukumu wanajamvi!?
Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
ooh,sawa asante,kwahyo hayo mabox unakuta yamesheni ni simu used pekee? Itabidi nitafute mwenyeji mi nipo mkoani na dar sija wahi fika,hauna mawasiliano yao?Ukitoka Uhuru inapokutana na Msimbazi(Zamani kulikuwa na roundabout siku hizi mataa) kama unataka kuanza kuelekea China Plaza. Kimtaa cha maduka cha kwanza kulia(sio mtaa wa barabara) humo yapo maduka ya jumla mpaka unatokezea upande wa Aggrey, jinsi ya kuyajua hayana meza ya display, duka zima linajaa maboksi ya simu tu..
View attachment 3333371
Hio sehemu mbili zenye line nyekundu..owa
Nicheki PMooh,sawa asante,kwahyo hayo mabox unakuta yamesheni ni simu used pekee? Itabidi nitafute mwenyeji mi nipo mkoani na dar sija wahi fika,hauna mawasiliano yao?
Kumradhi sikuona neno used, ule mtaa wanauza mpya..ooh,sawa asante,kwahyo hayo mabox unakuta yamesheni ni simu used pekee? Itabidi nitafute mwenyeji mi nipo mkoani na dar sija wahi fika,hauna mawasiliano yao?
Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?Kumradhi sikuona neno used, ule mtaa wanauza mpya..
Mkuu kwani bei ya hata mpya kitochi ni ngapi ? sababu ikiwa used (kulingana na bei ya mpya kwa sasa kuwa ndogo) si itabidi labda wauze kwa mafungu au hata kwa bei ya battery na charger mpya ?ooh,sawa asante,kwahyo hayo mabox unakuta yamesheni ni simu used pekee? Itabidi nitafute mwenyeji mi nipo mkoani na dar sija wahi fika,hauna mawasiliano yao?
Itanisaidia hiiUkitoka Uhuru inapokutana na Msimbazi(Zamani kulikuwa na roundabout siku hizi mataa) kama unataka kuanza kuelekea China Plaza. Kimtaa cha maduka cha kwanza kulia(sio mtaa wa barabara) humo yapo maduka ya jumla mpaka unatokezea upande wa Aggrey, jinsi ya kuyajua hayana meza ya display, duka zima linajaa maboksi ya simu tu..
View attachment 3333371
Hio sehemu mbili zenye line nyekundu...
Kwasababu ya soko la kuziuzia nimeshalisoma wateja wengi ukitangaza Wana bid kwa Elfu kumi mpaka kumi na tatu hawa ni wengi na hapo nakua nimetangaza simu ni 20k.Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?Nimewa nini simu za bataunataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano ununategeiasi gani na kuuza kiasi gani?
Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?
Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?
Mpya kuna ambazo utalangua kwa 14k,15k,16k...zipo hadi za kulangua 20k-30k....ambapo utauza kuanzia 25-50 kulinga a na brand na mzunguko ni mkubwa ila sio SAWa na used.Mkuu kwani bei ya hata mpya kitochi ni ngapi ? sababu ikiwa used (kulingana na bei ya mpya kwa sasa kuwa ndogo) si itabidi labda wauze kwa mafungu au hata kwa bei ya battery na charger mpya ?
kwa kweli dayamondi aseme tu ukweli kilitokea huko.....
pdidy alimtaka hata huyu
Hahaaa,alie kudanganya whitney alifanikiwa kwa ku-pididiwa ni nani?kwa kweli dayamondi aseme tu ukweli kilitokea huko.....
pdidy alimtaka hata huyu
Utafuta kuibiwaooh,sawa asante,kwahyo hayo mabox unakuta yamesheni ni simu used pekee? Itabidi nitafute mwenyeji mi nipo mkoani na dar sija wahi fika,hauna mawasiliano yao?
KwaninI?ninao ndugu huko ambao ningeweza kuwapa hayo maelekezo kisha wanipeleke hilo eneo,nisinge okota tuu mtu yoyoteUtafuta kuibiwa
Kama ni hivyo fineKwaninI?ninao ndugu huko ambao ningeweza kuwapa hayo maelekezo kisha wanipeleke hilo eneo,nisinge okota tuu mtu yoyote
Sawa sawa, hapo ukienda inabidi uwe na kitu unachotaka kichwani ukifika tu unataja model.. ukiulizia ulizia sana wanajua wa kuja wanakunyoosha na bei ya rejarejaItanisaidia hii