Machimbo ya mawe

Machimbo ya mawe

Ambadede Kilala

New Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Jamani MAWE yanaisha A- town hivi kweli mnavyoona kuna mpango wowote wa kuyabana, halafu yanaishia nje nji!!!!!!
 
Hivi kweli Tanzania ndiyo tumefikia huku?unamanisha mawe kama mawe au madini?

Kama ni mawe basi tanzania hatuko serious kabisa na suala la mazingira.halafu tunayapeleka nje ya nchi?let me hope sijaelewa
 
Back
Top Bottom