A Ambadede Kilala New Member Joined Feb 18, 2010 Posts 1 Reaction score 0 Apr 1, 2010 #1 Jamani MAWE yanaisha A- town hivi kweli mnavyoona kuna mpango wowote wa kuyabana, halafu yanaishia nje nji!!!!!!
Jamani MAWE yanaisha A- town hivi kweli mnavyoona kuna mpango wowote wa kuyabana, halafu yanaishia nje nji!!!!!!
Ben Saanane JF-Expert Member Joined Jan 18, 2007 Posts 14,580 Reaction score 18,193 Apr 1, 2010 #2 Hivi kweli Tanzania ndiyo tumefikia huku?unamanisha mawe kama mawe au madini? Kama ni mawe basi tanzania hatuko serious kabisa na suala la mazingira.halafu tunayapeleka nje ya nchi?let me hope sijaelewa
Hivi kweli Tanzania ndiyo tumefikia huku?unamanisha mawe kama mawe au madini? Kama ni mawe basi tanzania hatuko serious kabisa na suala la mazingira.halafu tunayapeleka nje ya nchi?let me hope sijaelewa
Magulumangu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 3,051 Reaction score 461 Apr 1, 2010 #3 Ambadede Kilala said: Jamani MAWE yanaisha A- town hivi kweli mnavyoona kuna mpango wowote wa kuyabana, halafu yanaishia nje nji!!!!!! Click to expand... mawe gani mkuu?au milima inahamishiwa?
Ambadede Kilala said: Jamani MAWE yanaisha A- town hivi kweli mnavyoona kuna mpango wowote wa kuyabana, halafu yanaishia nje nji!!!!!! Click to expand... mawe gani mkuu?au milima inahamishiwa?