Machimbo ya mdudu a.k.a mkuu wa meza

Adimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
661
Reaction score
297
Habarini mabibi na mabwana, embu tuelekezane machimbo wanayouza kitimoto safi iliyopikwa kwa ustadi mzuri, iwe rosti au kavu kwa hapa Dar es salaam. N.b kama itikadi yako haikuluhusu pita kimya kimya
 
Habarini mabibi na mabwana, embu tuelekezane machimbo wanayouza kitimoto safi iliyopikwa kwa ustadi mzuri, iwe rosti au kavu kwa hapa Dar es salaam. N.b kama itikadi yako haikuluhusu pita kimya kimya
Sinza lego pale hutojuta ipo rost ya kuchoma na kukaanga
 
Mkoa wa kigoma na mkoa wa Kagera na wilaya zake mdudu anapatikana kwa bei ya machungwa na amenona ile mbaya. Mikoani huko dar na kwingineko mdudu anapatina kwa bei ghali na anakuwa amekondeana sana utadhan ni kitoto.
 
Joint kigamboni, daaah wale wana huwezi kuacha kwenda aloo!! Wanajua hadi wanakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…