Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

nover

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
239
Reaction score
178
Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini.
Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata mzigo bei rahisi ndani ya nchi.
Tayari nimepata baadhi ya machimbo ya mzigo maneo ya Kariakoo ila naona bei zao hazina tofauti sana na za hapa Mwanza.
Nitashukuru pia kama nitaweza kupewa na mawasiliano ya simu. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom