Machimbo ya nguo Nairobi

Machimbo ya nguo Nairobi

jerry13

Member
Joined
May 24, 2024
Posts
14
Reaction score
20
Habari zenu wanaJf, ninaulizia kwa yeyote mwenye connection za machimbo ya nguo Nairobi aniunganishe nayo.

Nimesikia Nairobi kuna sehemu kama Eastleigh, Kamukunji na Dubois ambazo ni kama Kariakoo ya bongo. Nguo zao ni bei ndogo zaidi hata ya Kariakoo.

Kwa yeyote mwenye ujuzi au connection tuyajenge. Namba yangu ni 0746191267
 
Back
Top Bottom