Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT
Umeongeza fursa hasa upande wa M2M.
Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona fursa zinazokuja na hasa kwenye nyanja ya M2M
NB: Founder wa openAI alianza kujifunza ML and AI 2018, leo openAI inakimbilia $100B USD valuation. Sisi pia bado hatuja chelewa