mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 232
- 119
Mimi ndio Nataka kufanya huo mradi, lengo ni kuuza unga ukiwa packed! Pumba nazihitaji Kwa mifugo yangu. Mashine uwe na 5m, Yupo mtu humu ndani anauza hizo mashine. Location, inategemea na wewe but to me kijijini Kidogo ndio kizuri, Mjini mapozi mengi
Mungu akubariki, Hakikisha una jengo la kutunzia mahundo na kufanyia packaging! Kila mtu anakula Ugali Kwahio ni lazima unga uuzike tuMzunguko huo ni mzuri, kwani utaweza ku- pack, lakini pia unayo mifugo.
Kwa mazingira yangu bado sitaweza vingine, nategemea baadae kuenda mbele kutumia fursa zake zote
Location: nimekuona, thanks
Mashine yenyewe: 5m, thanks
Hiv hizi mashine zinasaga nafaka zote? Kama siya na mahindi?Mungu akubariki, Hakikisha una jengo la kutunzia mahundo na kufanyia packaging! Kila mtu anakula Ugali Kwahio ni lazima unga uuzike tu
Kwa kweli sina uhakika, kuna uzi WA mambo ya mashine, Ngoja niutafute niweke hapaHiv hizi mashine zinasaga nafaka zote? Kama siya na mahindi?
Mungu akubariki, Hakikisha una jengo la kutunzia mahundo na kufanyia packaging! Kila mtu anakula Ugali Kwahio ni lazima unga uuzike tu[/QUOT
Asante sana
Kwa kweli sina uhakika, kuna uzi WA mambo ya mashine, Ngoja niutafute niweke hapa