INAUZWA Machine ya kuziba pancha na kujaza upepo kwa dharura

INAUZWA Machine ya kuziba pancha na kujaza upepo kwa dharura

Cordy bnei shirk

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
331
Reaction score
252
Ukipata pancha katikati ya safari hii ndio mkombozi wako

Matumizi yake mara moja tu

Itaziba pancha na kukujazia upepo wako na kuendelea na safari yako
Kila mwenye gari,pikipiki hii sio ya kuikosa

Bei:7500/=
One time use
Call/whatsapp 0788622610

20200618_141412.jpg
20200618_141347.jpg
20200618_141341.jpg

Video jinsi inavofanya kazi
 
"One time use".. sijaelewa hii lugha mkuu. Samahani lakini.
 
"One time use".. sijaelewa hii lugha mkuu. Samahani lakini.
Anamanisha huwezi kuitumia zaidi ya mara moja.Ukipata pancha unaitumia hapohapo njiani au porini unaitupa.Haina kazi tena. Yaani ni kama vocha haitumiki mara mbili.
 
Ninauza mashine ya kuziba pancha na kujaza upepo bila kuhusa tyre. Serious buyers inbox me
 
Back
Top Bottom