Cordy bnei shirk
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 331
- 252
KkooUnapatikana wapi
Anamanisha huwezi kuitumia zaidi ya mara moja.Ukipata pancha unaitumia hapohapo njiani au porini unaitupa.Haina kazi tena. Yaani ni kama vocha haitumiki mara mbili."One time use".. sijaelewa hii lugha mkuu. Samahani lakini.
Cheki video nimeweka au ingia youtubeHii isije kuwa yale mambo ya Nano Liquid Protector