Machine za kuchuna maganda ya nazi

Machine za kuchuna maganda ya nazi

Calyx24

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
213
Reaction score
292
Habari zenu wakuu. Kwanza kabisa ningependa kumshukuru mungu wangu aliye nipa uhai na afya njema mpaka sasa pia ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nazi ni kiungo kimoja wapo kinacho tumika na watu tofauti katika kupikia na kuongeza radha ya vyakula mbalimbali pia nazi uzalisha mafuta ambayo hutumika katika matumizi ya kupikia na kupaka mwilini ama mafuta ya nywele na matumizi mengineyo.

Tunajua kuwa uchunaji wa nazi ni mgumu hasa pale inapotokea nazi imekomaa kupita kiasi au bado haijakomaa sana nikimaanisha dafu.

hivyo najaribu kuwauliza wakuu kama kuna uwezekano wa upatikanaji wa mashine za kuchunia maganda ya nazi haswa kwa wakulima wadogo.

Karibuni [emoji120]
 
Mkuu unamaanisha kufua nazi. Yani inapokuwa imetoka mtini ili kupata nazi?
 
Habari zenu wakuu. Kwanza kabisa ningependa kumshukuru mungu wangu aliye nipa uhai na afya njema mpaka sasa pia ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.

Nazi ni kiungo kimoja wapo kinacho tumika na watu tofauti katika kupikia na kuongeza radha ya vyakula mbalimbali pia nazi uzalisha mafuta ambayo hutumika katika matumizi ya kupikia na kupaka mwilini ama mafuta ya nywele na matumizi mengineyo.

Tunajua kuwa uchunaji wa nazi ni mgumu hasa pale inapotokea nazi imekomaa kupita kiasi au bado haijakomaa sana nikimaanisha dafu.

hivyo najaribu kuwauliza wakuu kama kuna uwezekano wa upatikanaji wa mashine za kuchunia maganda ya nazi haswa kwa wakulima wadogo.

Karibuni [emoji120]
Halo bwana. Mimi ni lolita, na sisi ni watengenezaji wa mashine za kilimo. hii ni WhatsApp yangu: +8617320158259, naweza kujua WhatsApp yako? tunaweza kuzungumza maelezo juu ya hilo.
 
Back
Top Bottom