Machine za kutengeneza chostick ama barafu za vijiti ama rambaramba

Muhanna

New Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu nahitaji mashine Ya kutengeneza chostick nianze Kazi Rasmi, anaejua mahal zinapopatikana anijuze
 
Anza kijasiriamali kwa kununua vikopo vidogo, stick ndogo pamoja na Jokofu, jifunze namna ya kuchanganya na tafuta soko! Usiwaze mashine kabla ya kuanza kazi
 
Samahani ndugu, naomba kujua hivyo vikopo na stick naweza kuvipata wapi?
 
Back
Top Bottom