Asanteni wadau. Ipi ni bei halis laki tisa au tano? Naomba msaad ili niende nikiwa kamili.
Wapo makumbusho ktk mojawapo ya zile gorofa mpya pale kituoni,nenda na laki tisa yao mkuu
wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue
wapo makumbusho,milenium tower 1st floor, bei ya mashine ni 524000 kachukue
Habari wanajamvi.
Naomba msaada anayejua contact za maxmalipo au walipo. Na namna ya kuweza kupata machine zao.
Asante