kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Iringa watu ni wachache na mzunguko wa biashara ni mdogo so wanafidia kukaa na mzgo mda mrefu,halafu hata gharama za maisha Iringa zipo juu,hapo waishi waajiliwa na waliozipata tayari,ila kwa anaejitafuta hapafaiNilikua Dodoma kwa mara ya kwanza siku 4 zilizopita. Kuna siku niliingia machinga complex ambayo iko barabarani tu. Kwa mimi naweza kusema ni kama karume pale Dsm. Aisee hapa Iringa the same clothes nimeuziwa dodoma sh. 5000 tu. Wakati huku zinauzwa 17000 nikawaza sana hapa Iringa why mambo expensive sana hivi?
Hongereni sana wana machinga kwa kunipa nguo kwa bei hizi. Swali ni kua kwanini bei kule ni cheap?