Machinga mentality: TANROADS mpo? Miundombinu ya serikali sasa inaingiliwa!

Machinga mentality: TANROADS mpo? Miundombinu ya serikali sasa inaingiliwa!

Lole Gwakisa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Posts
4,768
Reaction score
2,361
20210803_073850.jpg

Sipingi biashara huria kakini this is too much!

Hapo ni Mbezi Beach Goig, Bagamoyo Road.

Miundombinu ya barabara inapogeuzwa kuwa na matangazo ya watu binafsi, hii ndio laisszes faire yaani machinga mentality kushamiri ndani ya wananchi.

Mitaro inazibwa bila aibu.
Taka zinatupwa barabarani .
Awamu ya sita mpo?
 
View attachment 1878118

Tena wamembipu Waziri wa Ujenzi kabisaaa!
Dr Chamuriho unataka mbuzi?
Simu hiyo kwenye traffic sign yako.
 
Si bora huyo anajituma kuliko madalali wanaoshinikiza wapige pesa kwenye chanjo, mwache apambane tu
 
Back
Top Bottom