Tetesi: Machinga mjini Babati wamemuomba Rais Magufuli kuwasaidia wafanye biashara zao kwa uhuru

Tetesi: Machinga mjini Babati wamemuomba Rais Magufuli kuwasaidia wafanye biashara zao kwa uhuru

John Walter

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
68
Reaction score
63
Wamachinga mjini Babati wamemuomba Mheshiwa Rais Magufuli kuwasaidia wafanye biashara zao kwa uhuru baada ya kudai kuwa wananyanyasika kwa kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara huku wakirejea kauli ya Rais kuwa wamachinga wasibuguziwe.
Wamachinga hao ni wale wanaopanga bidhaa zao chini na wanaozungusha kupitia mikokoteni.
 
Naomba nione machozi yao tafadhari
 
Naomba nione machozi yao tafadhari
Yaani hawa mgambo wa manispaa nimekuta sehemu wanapora wakina mama mboga, mchicha, hoho, bilinganya, bamia, karoti, mapapai, spinachi. eti kwa sababu sehemu wanazouzia sio salama. nimeamua kuwafuatilia mpaka mwisho wa zoezi lao walipojaza pick up wakaondoka nikawafuata kwa nyuma. Nilisikitika wameenda kusimama sehemu kulikojificha kidogo wakatoa mifuko yao ya salfeti wakaanza kugawiana tena kwa pupa...!! Hivi hizo mboga za kupora mtu anapeleka nyumbani na anatumia na familia yake kwa raha kabisa ? inasikitisha sana...
 
Back
Top Bottom