Machinga: Ripoti ya Jaji Chande imeleta matumaini mapya kwa wananchi

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam, wakieleza kufurahishwa kwao na hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati alipokuwa akipokea ripoti ya Jaji Chande.
 
Mtu kutwa nzima anauza chupi 2 atakuwa na akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…