Machinga wa mwanza waemde wapi

charles mvuye

Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
8
Reaction score
2
Wamefukuzwa bila kuoneshwa maeneo yakufanyia biashira zao hivi selekali mnatuonaje sisi wenye hali ya chini?
 
wafukuzwe na wakibisha jela miezi sita wapelekwe..

si walimchagua wenyewe kwa demokrasia...!
na bado hapoo
 
Wamefukuzwa bila kuoneshwa maeneo yakufanyia biashira zao hivi selekali mnatuonaje sisi wenye hali ya chini?
hili ni jukwaa la wasanii nacwatu wazitowazito usituchanganyo habari
 
Mwanza si ndio walichagua zaidi.... waende vituo vya kura wakauzie huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…