RC Chalamila amewafokea na kuwatweza machinga wa Simu2000 mpk wakatia huruma. Wamama na akina baba watu wazima wakawa wanaambiwa "washenzi" na "wapumbavu" lkn cha ajabu machinga hao wakashindwa hata kususia huo mkutano na kumuacha Chalamila na kamati yake.
Hivi watanzania ni lini mtaamka? Nani aliwadanganya kwamba kiongozi ni sawa na Mungu?? Chalamila anatamba kabisa kuwa hilo eneo ni la serikali, siyo la wananchi. Eboo!
Serikali ni nani? Kati ya wananchi na serikali, nani mkubwa? Nani anapaswa kumsikiliza mwenzake? Nani alimzaa mwenzake?
Hivi serikali ndiyo inawaamrisha na kuwaamulia wananchi ? Nimelia sana!
Siku nyingine kiongozi akiongea ujinga kama huo tawanyikeni mwacheni peke yake.
PIA SOMA
- RC Chalamila: Wafanyabiashara Wadogo wa Simu2000 wafahamu kuwa eneo walilopo ni la Serikali, lazima liendelezwe