Machinga wanapangwa Dar es Salaam

Machinga wanapangwa Dar es Salaam

Hiki suala la machinga haiitaji maoni ya nini kifanyike, Mamlaka ya juu imeshatoa agizo, kitachofuata ni utekelezaji tu, hakuna cha kusema nani kapangwa vibaya ama vipi huwezi kuwaridhisha watu wote, hata huko serikalini kuna watumishi hawaridhishwi na baadhi ya masuala lakini wametulia tu maana ndio utaratibu kama Taifa.
 
Hili jambo likilegezewa litaleta mtafaruku mkubwa sana huko mbele kwani ni lazima yataibuka makundi mengine na yenyewe yakijiamulia mambo yao watataka wasiguswe na mfano wao itakuwa ni machinga, kwenye hili Magufuli alikosea sana sio kwa kuwapa uhuru wa kufanya biashara bali kuwaacha kufanya hizo biashara mahali kokote hata katika maeneo yanayotumiwa na wengine mfano wapita njia,kuhodhi vituo vya daladala na kuweka biashara zao mbele ya biashara za wengine huku wakifanya ubabe kwa yeyote anayewagusa hii ilikuwa ni kupanda mbegu mbaya sana.
 
Inatakiwa aidha wafute barabara moja iwe ya kibiashara (machinga) au wahamisge matumizi jengo wawape machinga....

Kumbuka anae pangwa samaki ng ombe mbuzi na kuku lkn binadamu hapangwi...
 

Attachments

  • kingrichieazumahtv+InstaUtility_-00_CM8ELnbjj7j_11-166017492_288438959440623_69474292074278238...mp4
    2.3 MB
Wanyonge wanapangwa , sio kazi rahsi kama mnavyofkria
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanafikiri wanapanga nyanya Kwenye tenga
IMG_20210916_151310.jpg
 
Back
Top Bottom