Ndugu yangu pole kwa kulishwa matango pori na Global TV. Hilo kanisa halijawahi kuwa na ibada zinafanyika hapo.
Siku Moja tangu wamachinga kuanza kujenga vibanda vyao kwenye hilo eneo la wazi uongozi wa kanisa ulionekana kuwa hai na kuanza kuchapia uzio unaolizinguka kanisa hilo na jana usiku wa saa nane ndipo uongozi huo ulipotafuta watu wa kuvunja vibanda vyao na kuharibu Mali zako.
Kinachosemekana ni kwamba Kanisa hilo lina mgogoro na serikali.
My take
Waandishi chipukizi wa habari wanatakiwa wafundwe upya namna ya upashaji habari vinginevyo wanazidi kuharibu balada ya kutengeneza