Machinjio ya Vingunguti Dar es Salaam watu wanajisaidia ovyo, Serikali litazameni

Nassibuabdul

New Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
3
Reaction score
3
VINGUNGUTI -DAR MACHINJIO MACHAFU
KULIKO YOTE TANZANIA

Machinjio hayana vyoo, serikali naomba mkalitizame ili maana
machinjio ni achafu kuliko kawaida.

Uchafuzi wa mazingira, watu wanakojoa ovyo pamoja na kujisaidia ovyo.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-12-28-22-32-39_com.whatsapp_1703792019889.jpg
    31.9 KB · Views: 7
Wamekusikia wahusika,huko ndiko namna pia ya kutekeleza imani ya chama.
 
Yale machinjio ili yafanikiwe wanatakiwa waondoe watu wote wanaozunguka pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…