ahsante mkuu bt kilichofanya kushare hapa ni kua kuna mtu nilimhadithia akanambia inaweza ikawa dalili mbaya ndo maana nikaleta hapa nipate kujua zaidi.Pole sana Mkuu.
🤣🤣🤣🤣Nikimwambia awafukuze najua hataweza! Mtakuja kusikia tu habari kuna mtu kafa..
Sa si bora akawasemelee kwa aliewaumba amalizane na viumbe wake kuliko kujitia umwana kulitaka akaja kulipata..😅
Mi ntasali ila sala zangu nawewe ntakuweka Sasa usiulize ntakuweka engo ipi hapo itategemea na nasali kwaajili ya Nini..😜
Tuko pamoja chizi mwenzangu njoo twende kwa jamaa ili aongeze kusali..🤣🤣🤣🤣
Chizi weh
😂😂😂😂Sina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
Sina la kusema ila sali sana ndugu.. Yani we sali mno usichoke we sali tu maana haujui siku wala saa watakapoamua kutimiza azima Yao!
Machizi washkaji au vichaaNatumai hamjambo wakuu.
Mara kwa mara machizi wamekua wanakuja kwangu, sasa nachojiuliza wakuu kutembelewa na machizi kuna ashiria jambo baya au ni hali ya kawaida?
Karibuni kwa michango yenu na ushauri pia.
vichaaMachizi washkaji au vichaa
mara nyingi nikirudi jioni wife hunambia wamepita, mda mwingine huomba chakula na mda mwingine huomba maji nakuondoka, kuna mara chache huwa wananikuta home hasa siku za wikendKweli kuna msemo unaosema ndege wafananao ndo uruka pamoja, sasa kwa hali yako sitaki kusema kwamba nawe ni chizi mwenzao ila naomba kuuliza iwapo ni kweli wanakufuata, ni kwanini wanafanya hivyo? Na katika mazingira gani? Kwa wakati husika. Iwapo unaweza naomba nijibu hapo ndo utaweza kupata tafsiri sahihi ya huo mchezo wao. Anza kujichunguza bro kama hamna wema unaowafanyia kwa kujua au kutokujua anza kujichunguza lazima kuna kasoro sehemu ingawa nao ni binaadamu na wana haki ya kua huru katika maisha haya.
Mkuu sio wewe mwenye tatizo ila kuna mazingira hapo kwako ambayo imewafanya wajihisi salama pia umesema hua shemeji anawapatia chochote kitu kwa matumbo yao, sasa kumbuka nao ni wanadàmu ña wana hisia kama sie tofauti ni utendaji wao tu wa kila siku hivyo kila mwanaadamu ana hisia ya kutaka kupendwa au kuthaminiwa ndo wanachohisi hao jamaa. Nakushauri ongeza umakini ktk usalama wa hapo nyumbani kwani nao huweza kutenda ubaya kulingana na siku yake itakavyokua. Ndo mawazo yangu kulingana na majibu yako ila kama kuna lingine hujasema sababu unaijua ww basi huo ushauri wangu haukufai kabisa mkuu.mara nyingi nikirudi jioni wife hunambia wamepita, mda mwingine huomba chakula na mda mwingine huomba maji nakuondoka, kuna mara chache huwa wananikuta home hasa siku za wikend
Natumai hamjambo wakuu.
Mara kwa mara machizi wamekua wanakuja kwangu, sasa nachojiuliza wakuu kutembelewa na machizi kuna ashiria jambo baya au ni hali ya kawaida?
Karibuni kwa michango yenu na ushauri pia.