Habari waungwana nina miaka 23 ninatatizo la macho... siku hiz za karibuni kila nikiamka asubuhi huwa naona ukungu yaan sioni vizuri na nakuta macho yamejaa matongotongo tofauti na hapo nyuma.
Je hili ni tatizo gani na nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.