Macho kuona ukungu na kuweka matongotongo baada ya kuamka asubuhi

chuma96

Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
25
Reaction score
39
Habari waungwana nina miaka 23 ninatatizo la macho... siku hiz za karibuni kila nikiamka asubuhi huwa naona ukungu yaan sioni vizuri na nakuta macho yamejaa matongotongo tofauti na hapo nyuma.
Je hili ni tatizo gani na nifanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…