Macho kupiga wekundu kupita kiasi

Macho kupiga wekundu kupita kiasi

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
Ndugu wana jamvi kwa muda mrefu sasa nimekua na tatizo hili la macho yangu kupiga wekundu ulopindukia jambo linalo niweka katika wakati mgumu kwani baadhi ya wakati nashindwa kujitokeza katika mikusanyiko kwan mara nyingi huwa naulizwa maswal mengi ambayo huwa nakosa majibu. Kibaya zaidi baadhi ya watu kuuhusisha tatizo langu na matumizi ya madawa ya kulevya kitu ambacho sijawah kutumia. Jee hili nitatizo gn? na ni nini chanzo chake kitaalamu! Na tiba yake ni ipi?.
 
Unapata usingz wa kutosha? Unatumia cha arusha? Niliwah kusoma mwaka 2000 kwenye gazeti la ijumaa makala ya rehema salim wa itv kufanya macho meupe kwa kutumia tango unaweka slice juu ya kope.

=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
ulali vya kutosha,au muda mwingi unaangalia movie,au sigara kali,cha kufanya pumzika vya kutosha,labda nikuulize kama unafanya kazi za kuchomelea,jaribu kutumia kama wik nzima unalala vya kutosha yani kuanzia saa 8 harafu urudi kutwambia matokeo
 
Back
Top Bottom